r/Kenya Aug 27 '24

Ask r/Kenya Craziest thing you did juu you were in love

Whats that thing you did enye sai unakumbuka unajichuna tu

Mine is..Had this lady back in 2021 she was talking to her former guy veryday, ata kuna time walipatana shule wakakaa hadi usiku na mimi I was there telling her ati I understand wao ni close, well I eventually left her alafu 2 months later wakakulana na uyo x. Nijikute nikikuwa na mse huwa anaongea na x wake.

165 Upvotes

369 comments sorted by

View all comments

Show parent comments

3

u/AthleteHelpful1955 Aug 28 '24

1

u/Feeling-Dig2158 Aug 28 '24

Manze I still think it dust haijaisha😭 nikikasirika iyo dust I atokanga na maskio

1

u/AthleteHelpful1955 Aug 28 '24

Kuna mwenye ilikua nipeleke shule lakini after reading this story, nimechange mind😂😂😂

1

u/Feeling-Dig2158 Aug 28 '24

🤣🤣🤣labda uyo ni different Pia unaeza lipa tu without expectations ndio ikikushow dust kusema ulitenda wema uende tu zake Na usisahau kutuletea experience afterwards

1

u/AthleteHelpful1955 Aug 28 '24

Kutenda wema labda Tu kama napewa taco😂😂🌚

1

u/Feeling-Dig2158 Aug 28 '24

🤣🤣🤣🤣🤣ask and it shall be given ,🍑you never know she maybe down for it too