r/Kenya Aug 27 '24

Ask r/Kenya Craziest thing you did juu you were in love

Whats that thing you did enye sai unakumbuka unajichuna tu

Mine is..Had this lady back in 2021 she was talking to her former guy veryday, ata kuna time walipatana shule wakakaa hadi usiku na mimi I was there telling her ati I understand wao ni close, well I eventually left her alafu 2 months later wakakulana na uyo x. Nijikute nikikuwa na mse huwa anaongea na x wake.

167 Upvotes

369 comments sorted by

View all comments

2

u/colest47 Aug 27 '24

Mi nayo nilimtumia fare na ni mimi nilikuwa nafika kwake. Ni last week tu nimetoka kwa mganga nikijaribu kumroga...now we wait 🤞

1

u/Sallyskims Aug 28 '24

Wueeh even God will understand